Kwanini
R&B

Kwanini

@Mdosmastaki • 3:14 • 1 month ago
0:00 / 3:14

Description

Une chanson arnb entraînante des aventures de vie plein d'énergie

Paroles

Uuumh ummmh ummmh eeeeeeh!

Eh!! Mola,
Nifunze kuishi nabusara watu waduniya wasitume minasara, juyanini kuto pendana duniya inaniumizaka sana,
Minaweye kilasiku kuchekaaa
Kumbe ndani
Hasira umeweka,
bila mola
Kuni kwepeshaaaa
Mukuki
ungenichimekaa
Bila mola
kuni kwepeshaaaa
mukuki
Ungenichokaa
Niambiye nijuwe niambiye naminijuwe
Niambiye nijuwee eee kwanini badii

Tunapenda chukiyana
Kwanini
Tunapenda kutesana
Kwanini
Mupaka kurogana
Kwanini
Ye ye yeee
Kwanini badiiyeee
Tunapenda chukiyana
Kwanini
Tunapenda kutesana
Kwanini
Mbona tutamalizana
Kwanini
Ye ye yeee
Kwanini badiiyeee

Mola nipe njo busaraa
Moyowa wangu umejaa na asiraaa
Watu waduniya vitu vyaduniya visi tume m-dos mina sara
Hata baharini zile saamaki kubwa kula zile ndogondogo ayayaaa
Hata binadamu wale wenye kipato kutugandamiza sisi wenye pato ndogo
Tupendane tushikane tuambatane man
mambo ya duniya yote yote ya pitaa
Juyanini juyanini chukiyanini kati yangu minawewe eeeh
Utaniuwa buree
Juyanini juyanini chukiyanini kati yangu minawewe eeeh
Tuta malizana bure

Tunapenda chukiyana
Kwanini
Tunapenda kutesana
Kwanini
Mupaka kurogana
Kwanini
Ye ye yeee
Kwanini badiiyeee
Tunapenda chukiyana
Kwanini
Tunapenda kutesana
Kwanini
Mbona tutamalizana
Kwanini
Ye ye yeee
Kwanini badiiyee

Uuumh carla hauamini M-dos
Kwanini
Noela wamutesa magik David
Kwanini
Mama belvi na malbon
Kwanini
ye ye yeee
Kwanini badiiyeee
M-DOS music dont come
3
Écoutes
0
J'aime
0
Téléchargements
3:14
Durée
Cover
0:00
0:00