Sikiya
Afrobeat

Sikiya

@Mdosmastaki • 2:43 • 1 month ago
0:00 / 2:43

Description

Une chanson afrobeat entraînante sur une aventure amoureuse plein d'énergie avec des refrains accroché

Paroles

umh!!
minashindwa vumiliya na minashindwa kukuambiya kanyimbo nakuimbiya Carlados nahisi utakasikiyaa Ila usinihisi vibaya nisha penda mama sina roho yachumaa minapenda sana Ila usinihisi vibaya nisha penda mama sina roho yachumaa minapenda sana naogopa usinichukiyee usinikatae miye nimetunga wimbo nikuimbiye usinichukiye miyee

nakusii sikiya nyimbo minakuimbiyaa
nakusii sikiya mama kanyimbo mina kuimbiyaa
nakusii sikiya nyimbo minakuimbiyaa
nakusii sikiya mama kanyimbo mina kuimbiyaa

mpenzi wangu wee, nakupenda mwenyewe
bila weye siwaze kitu unielewe, imepita myaka mbili Niko naweye Ila kilasiku chaguo langu inabaki tu niwewe,
Carlados muganza maishani mwangu umeleta mwangaza, ona mabadiliko kwangu nanenepa mupaka napendeza, tunda lamapenzi denize umenizaliya nakupenda carla hadi kanyimbo nakuimbiya

nakusii sikiya nyimbo minakuimbiyaa
nakisii sikiya mama kanyimbo minakuimbiyaa
nakusii sikiya nyimbo minakuimbiyaa
nakusii sikiya mama kanyimbo mina kuimbiyaa

eee mamaaa eeee nakupenda sana
sitawahi kukutenda penzi lako laniweza miye
yes m-dos EL-Pipo apa, sikiya iZi voko mama kwajili yako nashika pene nakalitasi nakusii weka roho yako wazi nyeupe kama teluji, malbo, le blanc hii nikwajili yako mam
m-dos music donte
5
Écoutes
1
J'aime
13
Téléchargements
2:43
Durée
Cover
0:00
0:00